Wachezaji wa Yanga walivyopokea Kombe la Ubingwa wa Ligi Kuu pamoja na familia zao May 14 2016

Wachezaji wa Yanga walivyopokea Kombe la Ubingwa wa Ligi Kuu pamoja na familia zao May 14 2016
Klabu ya Dar es Salaam Younga Africans May 14 2016 ilikabidhiwa Kombe lake la ushindi wa Ligi Kuu Tanzania msimu wa 2015/2016, baada ya kumaliza mchezo wake dhidi ya Ndanda FC kwa sare ya goli 2-2, hili ni taji la Ligi Kuu la 26 kwa Yanga na ni taji la kwanza kwa Donald Ngoma katika maisha yake ya soka.
Angalia Video