Traffic Dar wamezikusanya Bilioni kwa faini tu barabarani

Traffic Dar wamezikusanya Bilioni kwa faini tu barabarani
Jeshi la Polisi Kanda maalum Dar es salaam kupitia kikosi chake cha usalama barabarani kimekusanya kiasi cha shilingi Bilioni 1.3 kutokana na ukamataji wa makosa ya usalama Barabarani kwa kipindi cha kuanzia April 25 2016 hadi May 16 2016.
Angalia Video