Nuh Mziwanda's birthday Party May 15 2016

Nuh Mziwanda's birthday Party  May 15 2016
Usiku wa May 15 Msanii kutoka kiwanda cha Bongoflevani Nuh Mziwanda alifanya Birthday Party maeneo ya Nyumbani kwake Survey Jijini Dar es salaam na kuudhuriwa na Mastaa mbalimbali nchini
Angalia Video