Mpango wa Paul Makonda kwenye magari mabovu aliyoyakuta Ofisini kwake

Mpango wa Paul Makonda kwenye magari mabovu aliyoyakuta Ofisini kwake
May 17 2016 Chama cha Mafundi Magari Wilaya ya Kinondoni wameungana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda katika utengenezaji wa jumla ya magari nane, ambayo yalikuwa ni mabovu
Angalia Video