Mazishi ya watu watano kati ya saba waliokatwa mapanga Sengerema Mwanza

Mazishi ya watu watano kati ya saba waliokatwa mapanga Sengerema Mwanza
Mazishi ya watu watano kati ya saba wa familia moja waliouawa kwa kukatwa na mapanga usiku wa kuamkia May 11, 2016 katika kijiji cha Sima, Sengerema Mwanza na miili ya watu wawili imesafirishwa kwenda Ngara Mkoani Kagera.
Angalia Video