Magoli ya mechi ya Ndanda FC vs Yanga May 14 2016, Full Time 2-2

Magoli ya mechi ya Ndanda FC vs Yanga May 14 2016, Full Time 2-2
Klabu ya Ndanda FC ambayo May 14 2016 ilicheza mchezo wake wa Ligi Kuu dhidi ya klabu ya Dar es Salaam Younga Africans , uwanja wa Taifa Dar es Salaam kama uwanja wao wa nyumbani, mchezo huo ambao Yanga walikabidhiwa Kombe lao la Ubingwa wa Ligi Kuu msimu wa 2015/2016, ulimalizika kwa sare ya goli 2-2.
Angalia Video