Kauli ya kwanza ya Mkwasa baada ya kumuita Cannavaro 'Taifa Stars'

Kauli ya kwanza ya Mkwasa baada ya kumuita Cannavaro 'Taifa Stars'
Kocha wa timu ya Tanzania Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa ameeleza amejibu kwa nini amemuita Nadir Haroub Cannavaro katika kikosi licha ya staa huyo kutangaza kuwa amestaafu kuichezea Taifa Stars.
Angalia Video