Baada ya Vyombo vya moto kuanza kulipia Daraja la Nyerere, watumiaji wameyazungumza haya

Baada ya Vyombo vya moto kuanza kulipia Daraja la Nyerere, watumiaji wameyazungumza haya
Wakazi wa Dar es salaam wanaotumia vyombo vya moto kupita Daraja la Mwalimu Nyerere wameanza kulipia fedha kwa viwango vilivyotangazwa na serikali lakini baadhi yao wameomba wapunguziwe wakidai ni kubwa zaidi kwa kuwa mizunguko wanayoifanya kupitia daraja hilo ni mingi.
Angalia Video