Baada ya post za Shilole na Vanessa kuingia kwenye headlines, wenyewe wameongea

Baada ya post za Shilole na Vanessa kuingia kwenye headlines, wenyewe wameongea
Headline zinachukuliwa na Warembo kutoka Kiwanda cha Bongoflevani na hii ni baada ya May 17 2016 Shilole kupost picha kwenye Account yake Instagram ambayo wengi wametafsiri ni dongo kwa msanii mwenzake Vanessa Mdee, May 18 2016 Vanessa Mdee amezichukua headline kwa Kupost picha ya Shilole.
Angalia Video