Alikiba kafika South Africa, mambo mapya 7 makubwa kutangazwa

Alikiba kafika South Africa, mambo mapya 7 makubwa kutangazwa
Mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba amefika nchini Afrika Kusini ambako amekuja kutia saini kwenye dili zake saba mpya ambazo zitamchukua yeye na bongofleva kwenye hatua nyingine kubwa ya kimataifa
Angalia Video