Air Tanzania imechelewesha abiria wa Comoro kwa siku 6, ndege mbovu

Air Tanzania imechelewesha abiria wa Comoro kwa siku 6, ndege mbovu
Abiria zaidi ya 80 waliotakiwa kusafiri na ndege ya shirika la ATCL kwenda Comoro wamekwama kusafiri baada ya Ndege ya Shirika la ATCL waliyotakiwa kusafiri nayo kuharibika
Angalia Video