Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano imeomba kutengewa Trilioni 4 kama bajeti yake ijayo

Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano imeomba kutengewa Trilioni 4 kama bajeti yake ijayo

Bunge la 11 limeendelea Dodoma, na leo May 17 2016 ilikuwa ni zamu ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kuwasilisha hotuba yake pamoja na kuomba kupitishiwa bajeti yake ijayo.  Kazi imefanywa na Waziri  wake Makame Mbarawa ambaye ameanza na kuzitoa changamoto za Wizara… >>‘Katika utekelezaji wa majukumu yake Wizara inakabiliwa na changamoto mbalimbali, changamoto […]

The post Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano imeomba kutengewa Trilioni 4 kama bajeti yake ijayo appeared first on MillardAyo.Com.