Utafiti umefanyika, Tanzania imetajwa katika list za juu za nchi zisizokuwa waaminifu

Utafiti umefanyika, Tanzania imetajwa katika list za juu za nchi zisizokuwa waaminifu

Utafiti umefanywa na wanafunzi wa University of Nottingham Uingereza ukihusisha nchi 159, wanafunzi wa chuo kikuu cha Nottingham wamefanya utafiti wa kugundua ni nchi zipi zinaoongoza kwa uaminifu au ukweli duniani, utafiti umefanywa ukihusisha nchi 159 ikiwemo Tanzania. Wanafunzi hao wamefanya tafiti huku wakichanganya na data za 2003 za ukwepaji kodi, rushwa na udanganyifu katika siasa […]

The post Utafiti umefanyika, Tanzania imetajwa katika list za juu za nchi zisizokuwa waaminifu appeared first on MillardAyo.Com.