Traffic Dar wamezikusanya hizi BILIONI kati ya April 25 mpaka May 16

Traffic Dar wamezikusanya hizi BILIONI kati ya April 25 mpaka May 16

Jeshi la Polisi Kanda maalum Dar es salaam kupitia kikosi chake cha usalama barabarani kimekusanya kiasi cha shilingi Bilioni 1.3 kutokana na ukamataji wa makosa ya usalama Barabarani kwa kipindi cha kuanzia April 25 2016 hadi May 16 2016. Kamishna wa polisi kanda maalum Dar es salaam amezungumza haya mbele ya waandishi wa habari…….>>> ‘hatukusanyi yale mapato ili […]

The post Traffic Dar wamezikusanya hizi BILIONI kati ya April 25 mpaka May 16 appeared first on MillardAyo.Com.