Staa wa NBA ana maamuzi mapya baada ya kuwaita nyani Golden State Warriors

Staa wa NBA ana maamuzi mapya baada ya kuwaita nyani Golden State Warriors

Mchezaji wa kikapu Marekani (NBA)  Steven Adams wa timu ya Okhlohamio City ameomba radhi baada ya kuwaita ‘nyani wadogo’ wachezaji wa timu pinzani ya Golden State Warriors waliowafunga bao 108-102. Adams aliyasema maneno hayo baada ya kuhojiwa mwisho wa mchezo. Adams bado alikuwa akiendelea kudai kuwa hakumaanisha chochote kibaya bali ametumia kama usemi tu akisema “lilikua ni neno tu […]

The post Staa wa NBA ana maamuzi mapya baada ya kuwaita nyani Golden State Warriors appeared first on MillardAyo.Com.