Shetta kazungumzia ngoma yake ‘namjua’ stlye kufanana na ngoma ya Diamond na Harmonize

Shetta kazungumzia ngoma yake ‘namjua’ stlye kufanana na ngoma ya Diamond na Harmonize

Kama umekuwa mfuatiliaji wa vichupa vilivyotoka hivi karibuni, ukiangalia Harmonize ‘Bado’, halafu ukiangalia wimbo wa Shetta ‘namjua’ aina ya video yake haina tofauti sana na ‘namba one’ ya Diamond na stlye za uchezaji ya ule wimbo inafanana sana  na wimbo wa ‘bado’ wa Harmonize, sasa inamaana idea zimeisha mpaka Shetta kaamua kupita na vitu vilivyofanywa […]

The post Shetta kazungumzia ngoma yake ‘namjua’ stlye kufanana na ngoma ya Diamond na Harmonize appeared first on MillardAyo.Com.