Shetta Kafunguka Skendo ya Mke wake kutoka kimapenzi na Diamond (+Audio)

Shetta Kafunguka Skendo ya Mke wake kutoka kimapenzi na Diamond (+Audio)

May 06  2016 kupitia Hekaheka ya Clouds FM Geah Habib ametuletea Hekaheka inayomhusu Shetta, Geah Kamuuliza Shetta kuhusu story zilizowahi kusemwa kuwa mke wake anatembea na Diamond na baadae akafuta picha zote za instagram ambapo matukio hayo yalifuatana. Baada ya kuulizwa Shetta amesema sio kweli na anaumuamini sana mke wake pia akasema………..>>>ukaribu wa mke wangu […]

The post Shetta Kafunguka Skendo ya Mke wake kutoka kimapenzi na Diamond (+Audio) appeared first on MillardAyo.Com.