PICHA & VIDEO: Mashabiki wameamua kuchoma moto uwanja wa timu yao, kisa ?

PICHA & VIDEO: Mashabiki wameamua kuchoma moto uwanja wa timu yao, kisa ?

Mashabiki wa soka nchini Uturuki wameingia kwenye headlines baada ya maamuzi walioamua kuyafanya yamewashangaza wengi na sio ya kawaida, mashabiki wa klabu ya Eskişehirspor wameamua kuchoma uwanja wao baada ya timu yao kufungwa goli dakika ya 93, kipigo ambacho kimefanya kuwa katika nafasi ya kushuka daraja. Mchezo huo uliomalizika kwa Eskişehirspor kufungwa goli 2-1, mashabiki walivamia uwanja […]

The post PICHA & VIDEO: Mashabiki wameamua kuchoma moto uwanja wa timu yao, kisa ? appeared first on MillardAyo.Com.