Ndege ya Egypt imepoteza mawasiliano ikiwa na abiria kutokea Paris Ufaransa

Ndege ya Egypt imepoteza mawasiliano ikiwa na abiria kutokea Paris Ufaransa

EgyptAir Flight 804 imepoteza mawasiliano ikiwa angani kutokea Paris Ufaransa kwenda Cairo Misri ambako ilitakiwa kutua saa kadhaa zilizopita kwa mujibu wa CNN lakini ikapoteza mawasiliano ikiwa tayari imeingia kwenye anga ya Misri. Shirika hilo la ndege limethibitisha kwa kusema ilikua na abiria 56 na Wafanyakazi 10 ndani yake ambapo mpaka sasa msako umeshaanza kujua […]

The post Ndege ya Egypt imepoteza mawasiliano ikiwa na abiria kutokea Paris Ufaransa appeared first on MillardAyo.Com.