Nakukaribisha kuisikiliza hii single ‘Usiende mbali’ ya msanii mpya kutoka PKP Nedymusic

Nakukaribisha kuisikiliza hii single ‘Usiende mbali’ ya msanii mpya kutoka PKP Nedymusic

Baada ya Diamond Platnumz kuchukua headlines za kuwasaini wasanii kwenye  label yake  iitwayo WCB ‘Harmonize na Raymond‘ ambao wawili hao wamekuwa wakifanya vizuri katika tasnia ya Bongo Fleva, sasa ni time ya msanii Ommy Dimpoz ambaye leo April 5, 2016 alimtambulisha msanii mpya kutoka kwenye label yake PKP aitwae Nedymusic. Nedymusic anakuwa msanii wa kwanza katika […]

The post Nakukaribisha kuisikiliza hii single ‘Usiende mbali’ ya msanii mpya kutoka PKP Nedymusic appeared first on MillardAyo.Com.