Movie ya action nitayokushauri ukaitazame leo Cinema kama upo Dar na Arusha…

Movie ya action nitayokushauri ukaitazame leo Cinema kama upo Dar na Arusha…

Kama movie za action ni movie zako hii unaweza kuiweka Civil War kwenye list ambayo ndani wameshiriki mastaa mbalimbali akiwemo Captain America, Iron Man, Clint Barton, Sam Wilson, Spider Man na wengineo. Ni movie ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu hasa wale wapenzi wa movie sasa basi itaanza kuoneshwa rasmi leo Mei 6, 2016 kwenye  theater mbalimbali za […]

The post Movie ya action nitayokushauri ukaitazame leo Cinema kama upo Dar na Arusha… appeared first on MillardAyo.Com.