Mambo matano yaliyosababisha hotuba ya upinzani kukataliwa Bungeni leo

Mambo matano yaliyosababisha hotuba ya upinzani kukataliwa Bungeni leo

May 15 2106 wizara ya mambo ya ndani ya nchi ilikuwa ikiwasilisha hotuba yake ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2016/2017 Taratibu huwa baada ya Wizara husika kuwasilisha hotuba yake hutolewa nafasi kwa kambi ya upinzani bungeni nayo kuwasilisha hotuba yake lakini mambo yakawa tofauti baada ya mwenyekiti wa bunge kuzuia […]

The post Mambo matano yaliyosababisha hotuba ya upinzani kukataliwa Bungeni leo appeared first on MillardAyo.Com.