Maamuzi ya Mahakama Kuu Tabora kwenye kesi ya Kafulila.

Maamuzi ya Mahakama Kuu Tabora kwenye kesi ya Kafulila.

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Tabora iliyokuwa inasikiliza kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Jimbo la Kigoma Kusini iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, David Kafulila imetoa hukumu ambapo David Kafulila ameshindwa kwenye kesi hiyo dhidi ya Mbunge Kigoma kusini, Hasna Mwilima ‘CCM’. Kesi ilikuwa chini ya Jaji Ferdinand Wambari na Katika kesi […]

The post Maamuzi ya Mahakama Kuu Tabora kwenye kesi ya Kafulila. appeared first on MillardAyo.Com.