List ya makocha Uingereza kufukuzwa imeongeza, mwingine kapoteza ajira yake leo May 12 2016

List ya makocha Uingereza kufukuzwa imeongeza, mwingine kapoteza ajira yake leo May 12 2016

Headlines za makocha wa soka kupoteza ajira zao zinazidi kugonga vichwa vya habari kila kukicha duniani kote, Alhamisi ya May 12 2016 jina la kocha Roberto Martinez limeingia kwenye list ya makocha waliofukuzwa Ligi Kuu Uingereza msimu huu wa 2015/2016. Baada ya kupokea vipigo, klabu ya Everton imetangaza kumfukuza kazi kocha wake Roberto Martinez, Everton […]

The post List ya makocha Uingereza kufukuzwa imeongeza, mwingine kapoteza ajira yake leo May 12 2016 appeared first on MillardAyo.Com.