Licha ya kuifunga 6-1 Majimaji FC Oct 31 2015, Simba imeshindwa kupata point tatu Songea leo May 11

Licha ya kuifunga 6-1 Majimaji FC Oct 31 2015, Simba imeshindwa kupata point tatu Songea leo May 11

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea leo May 11 2016 kwa klabu ya Majimaji FC ya Songea kucheza mchezo wake wa Ligi Kuu wa 29 dhidi ya Simba katika uwanja wa Majimaji Songea, huu ni mchezo ambao Simba hawapewi nafasi kubwa ya kupata matokeo mazuri kutokana na baadhi ya wachezaji wake kutosafiri na timu. Katika […]

The post Licha ya kuifunga 6-1 Majimaji FC Oct 31 2015, Simba imeshindwa kupata point tatu Songea leo May 11 appeared first on MillardAyo.Com.