Leaked: Wimbo mpya wa Alikiba ft M.I kutoka Nigeria ‘Aje’ unaosambaa mitandaoni

Leaked: Wimbo mpya wa Alikiba ft M.I kutoka Nigeria ‘Aje’ unaosambaa mitandaoni

Mkali wa bongo fleva Alikiba May 12 jina lake limegonga tena headlines baada ya wimbo wake mpya ‘Aje’ kuvuja lakini habari zinaeleza  kuwa video ya wimbo huo mpya wa Alikiba aliomshirikisha rapper kutoka Nigeria M.I utaanza kuoneshwa kwa mara ya kwanza MTV Base Ijumaa ya May 13 2016 ila audio yake imesambaa mitandaoni kwa maana ya […]

The post Leaked: Wimbo mpya wa Alikiba ft M.I kutoka Nigeria ‘Aje’ unaosambaa mitandaoni appeared first on MillardAyo.Com.