Kocha wa Man City ameeleza kilichoidhoofisha timu msimu huu na kushindwa kutwaa Ubingwa

Kocha wa Man City ameeleza kilichoidhoofisha timu msimu huu na kushindwa kutwaa Ubingwa

Baada ya klabu ya Manchester City kumaliza msimu ikiwa nafasi ya nne katika msimamo wa Ligi Kuu Uingereza, kocha ambaye alikuwa anafundisha klabu hiyo Manuel Pellegrini ameweka wazi tatizo lililoifanya klabu hiyo kufanya vibaya msimu huu tofauti na msimu uliopita. Manuel ameweka wazi kuwa kitendo cha uongozi wa Man City kuweka wazi kuwa klabu hiyo […]

The post Kocha wa Man City ameeleza kilichoidhoofisha timu msimu huu na kushindwa kutwaa Ubingwa appeared first on MillardAyo.Com.