Hispania imetangaza kikosi kitakachoshiriki EURO 2016, list ya mastaa walioachwa

Hispania imetangaza kikosi kitakachoshiriki EURO 2016, list ya mastaa walioachwa

Bado zimebaki siku kadhaa kabla ya michuano ya mataifa ya Ulaya (EURO 2016) kuanza kuchezwa michuano ambayo hufanyika kila baada ya miaka 4, kwa mwaka 2016 michuano  hiyo inatarajiwa kufanyika Ufaransa, siku moja baada ya timu ya taifa ya Uingereza  kutangaza kikosi chake, Hispania wametangaza chao leo May 17 2016. Hispania wametangaza kikosi cha wachezaji […]

The post Hispania imetangaza kikosi kitakachoshiriki EURO 2016, list ya mastaa walioachwa appeared first on MillardAyo.Com.