FullTIME: Hat-trick ya Suarez yaipelekea Barcelona hii furaha..

FullTIME: Hat-trick ya Suarez yaipelekea  Barcelona hii furaha..

May 14 2016 kuliendelea michezo kadhaa katika ligi ya Spain Laliga ambapo michezo miwili yakuamua nani atakuwa mshindi wa kombe hilo kwa msimu wa 2015/2016 ilichezwa masaa sawa, Granada walikuwa wenyeji wa Barcelona wakati wapinzani wao Real Madrid walikuwa wakikipiga na klabu ya Deportive La Coruna. Mchezo wa Granada Vs Barecelona ulimalizika kwa Barcelona kuibuka na […]

The post FullTIME: Hat-trick ya Suarez yaipelekea Barcelona hii furaha.. appeared first on MillardAyo.Com.