FIFA imetangaza katibu mkuu wa kwanza mwanamke leo May 13 2016

FIFA imetangaza katibu mkuu wa kwanza mwanamke leo May 13 2016

Shirikisho la soka Ulimwenguni FIFA leo May 13 2016 limetangaza kwa mara ya kwanza katibu mkuu mwanamke katika historia ya shirikisho hilo, FIFA imemtangaza Fatma Samba Diouf Samoura kutoka Senegal kuwa katibu mkuu wa kwanza wa shirikisho la hilo mwanamke. Fatma Samba Diouf Samoura anaingia FIFA mwezi June kuanza kazi rasmi na kurithi nafasi ya Jerome Valcke katibu […]

The post FIFA imetangaza katibu mkuu wa kwanza mwanamke leo May 13 2016 appeared first on MillardAyo.Com.