FA ya Uingereza imezipiga faini Chelsea na Tottenham Hotspurs

FA ya Uingereza imezipiga faini Chelsea na Tottenham Hotspurs

Chama cha soka nchini Uingereza FA May 16 kimetangaza adhabu kwa vilabu vya Chelsea na Tottenham amabavyo vinatoka jiji moja la London, FA wametangaza uamuzi wa kuvipiga faini vilabu hivyo kutokana na kushindwa kuwadhibiti wachezaji wake kufanya vitendo vya utovu wa nidhamu. FA imetangaza kuipiga faini Chelsea ya pound 375,000 ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 1 […]

The post FA ya Uingereza imezipiga faini Chelsea na Tottenham Hotspurs appeared first on MillardAyo.Com.