EXCLUSIVE PICHA 15: Bongofleva imemlipa… huu ni muonekano wa studio mpya ya Barnaba

EXCLUSIVE PICHA 15: Bongofleva imemlipa… huu ni muonekano wa studio mpya ya Barnaba

Ni Mei 11, 2016 ambapo msanii wa Bongo Fleva, Barnaba anaziandika headlines baada ya kufungua rasmi studio yake mpya aliyoipa jina la ‘HIGHTABLE SOUND’ ambayo itahusika kurekodi kazi za wasanii pamoja na kufanya matangazo mbalimbali. Barnaba anaingia kwenye list ya wasanii wanaomiliki studio huku akiwemo, Professor Jay, Diamond Platnumz, Dully Sykes, Nahreel, Bob Junior, Nay […]

The post EXCLUSIVE PICHA 15: Bongofleva imemlipa… huu ni muonekano wa studio mpya ya Barnaba appeared first on MillardAyo.Com.