EXCLUSIVE Picha 10:Harmonize kajipatia usafiri wake mpya….

EXCLUSIVE Picha 10:Harmonize kajipatia usafiri wake mpya….

Baada ya show zake ambazo hazifiki hata 15 toka ametusua kupitia single yake ya Aiyola mkali huyu kutoka WCB ameonyesha bidii ikiwekwa popote kuna matunda. Ni gari aina ya Mark X ambapo Mmiliki wa label ya WCB, Diamond Platnumz alimpongeza na kuandika…’Kama nikusiivyo siku zote ni juhudi na Nidhamu yako ndio itayokufanya upate matunda ya […]

The post EXCLUSIVE Picha 10:Harmonize kajipatia usafiri wake mpya…. appeared first on MillardAyo.Com.