EXCLUSIVE PICHA 10:Bongo Fleva inalipa…Huu ndio usafiri mpya wa msanii Nuh Mziwanda

EXCLUSIVE PICHA 10:Bongo Fleva inalipa…Huu ndio usafiri mpya wa msanii Nuh Mziwanda

Ni Mei 13, 2016 ambapo msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda anazimiliki headlines za kumiliki usafiri mpya ambao ni matunda  ya single yake mpya iitwayo Jike Shupa aliyomshirikisha AliKiba. Ni gari aina ya Kluger ambayo ameinunua kwa kiasi cha milioni 25, na hapa nina picha 10 za muonekano wa gari hiyo mpya. ULIIKOSA HII BIRTHDAY PARTY […]

The post EXCLUSIVE PICHA 10:Bongo Fleva inalipa…Huu ndio usafiri mpya wa msanii Nuh Mziwanda appeared first on MillardAyo.Com.