Diamond hatokuja kusoma msg kwenye simu ya mpenzi wake kamwe, hii msg ndio ilimuumiza

Diamond hatokuja kusoma msg kwenye simu ya mpenzi wake kamwe, hii msg ndio ilimuumiza

Kwenye Exclusive Interview ya OnAIRwithMillardAyo mwimbaji staa wa bongofleva Diamond Platnumz hatosahau siku alipopekua simu ya mpenzi wake na kukuta msg ambazo zilimfanya mpaka leo asithubutu kushika simu ya mpenzi wake yeyote, mtazame mwenyewe akiongea hapa chini.. HUJAITAZAMA VIDEO YA DIAMOND NA HARMONIZE ‘BADO’ ? TAZAMA HAPA CHINI Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa […]

The post Diamond hatokuja kusoma msg kwenye simu ya mpenzi wake kamwe, hii msg ndio ilimuumiza appeared first on MillardAyo.Com.