Bidii kwenye kazi ! Bongofleva imempa Baraka Da Prince Lexus

Bidii kwenye kazi ! Bongofleva imempa Baraka Da Prince Lexus

Baraka Da Prince ni miongoni mwa wasanii wa kiume wa bongofleva ambao nyimbo zao zinachezwa sana kwenye Radio ambapo kwa sasa yuko mpaka kwenye Top10 na Top20 kupitia hit single ‘siwezi’ Ni miongoni pia mwa Wasanii waliopata mialiko ya kutosha kwenye show mbalimbali za Dar es salaam na nje ya Dar, kazi na jitihada zake […]

The post Bidii kwenye kazi ! Bongofleva imempa Baraka Da Prince Lexus appeared first on MillardAyo.Com.