AudioFUPI: Mayunga ft Akon ‘Please don’t go away’ imeachiwa leo May 16 kwenye radio

AudioFUPI: Mayunga ft Akon ‘Please don’t go away’ imeachiwa leo May 16 kwenye radio

Mshindi wa Airtel Trace Music Star Mayunga ambaye alipewa fursa ya kufanya collabo na msanii mkubwa wa Marekani Akon, hatimae May 16 ameachia ngoma yake mpya kwa mara ya kwanza Clouds FM katika kipindi cha XXL, nimekuwekea hapa dakika ya moja ya wimbo huo wa Mayunga ft Akon ‘Please Don’t go away’ kabla haujachiwa mitandaoni […]

The post AudioFUPI: Mayunga ft Akon ‘Please don’t go away’ imeachiwa leo May 16 kwenye radio appeared first on MillardAyo.Com.