Achana na headlines za sukari kufichwa, wafanyakazi kiwandani wanamipango tofauti

Achana na headlines za sukari kufichwa, wafanyakazi kiwandani wanamipango tofauti

May 17 2016 headlines mpya ambazo imezifikia millardayo.com ni kuhusu sukari, baada ya kuwepo na headlines nyingi kuhusu baadhi ya wafanyabiashara kutuhumiwa na wengine kukamatwa kutokana na kosa la kuficha sukari, habari mpya ni kuwa wafanyakazi wa kiwanda cha sukari Morogoro wamepanga kugoma kuendelea na uzalishaji. Wafanyakazi wa kiwanda cha Sukari Ilovo wilaya Kilosa na […]

The post Achana na headlines za sukari kufichwa, wafanyakazi kiwandani wanamipango tofauti appeared first on MillardAyo.Com.