Abiria ndege ya ATCL waliotakiwa kusafiri kwenda Comoro wamekwama kuondoka kwa siku sita

Abiria ndege ya ATCL waliotakiwa kusafiri kwenda Comoro wamekwama kuondoka kwa siku sita

Abiria zaidi ya 80 waliotakiwa kusafiri na ndege ya shirika la ATCL kwenda Comoro wamekwama kusafiri baada ya Ndege ya Shirika la ATCL waliyotakiwa kusafiri nayo kuharibika. Shirika la ATCL wamesema ndege ilipata tatizo la kiufundi na tayari spare zimeingia nchini na utengenezaji unaendelea na watawasafirisha siku ya alhamisi na ikishindikana watawasafirisha kwa ndege ya shirika […]

The post Abiria ndege ya ATCL waliotakiwa kusafiri kwenda Comoro wamekwama kuondoka kwa siku sita appeared first on MillardAyo.Com.