Jinsi ya Kujiunga na Gemu

Jinsi ya Kujiunga na Gemu

Jinsi ya Kujiuga na Tigo Games kwa simu za Kawaida

Kuna njia mbili za kujiunga na Tigo Games kwa simu za kawaida. Kila mtu mpya anaejiunga anapata siku 7 za bure za majaribio. 

1. Sajili kama mwanachama VIP

  a. Bofya > games.tigo.co.tz/vip!toVip.action  na uchague kifurushi chako cha kujiunga.

    i. Siku – TZS150 (salio la gemu 2 kwa siku)

    ii. Wiki – TZS 500 ( salio la gemu 7 kwa wiki )

    iii. Mwezi – TZS 1,550 ( salio la gemu 20 kwa mwezi )

2. Unaweza kujiunga kwa kujisajili kwa SMS

  a. Tuma SMS kwenda 15302 pamoja na neno lenye kifurushi ukitakacho.

    i. Siku – TZS150 (salio la gemu 2 kwa siku) = GAMEK

    ii. Wiki – TZS 500 ( salio la gemu 7 kwa wiki ) = GAMEK7

    iii. Mwezi – TZS 1,550 ( salio la gemu 20 kwa mwezi ) = GAMEK30

 3. Unaweza kujiondoa muda wowote. Kujiondoa:

  a. Tuma SMS kwenda 15302  na neno la kujitoa katika kifurushi.

    i. Siku:  Neno = ONDOAK

    ii. Wiki:  Neno = ONDOAK7

    iii. Mwezi:  Neno = ONDOAK30

4. Ukisha jiunga kikamilifu, nenda featuredgame.tigo.co.tz  kuingia na kuanza hizo siku 7 za bure za majaribio. 


Jinsi ya Kujiuga na Tigo Games kwa simu za Smartphone

1. Pakua App ya Android ya Tigo Games:

  a. Nenda games.tigo.co.tz na utafte sehemu ya kupakua App mwisho wa ukurasa.

  b. Pakua App

  c. Jiunge kwa kutumia App ama SMS kama inavyoelezwa apo chini:

2. Kujiunga kwa kutumia App ya Tigo Games:

  a. Ukishapakua App, ifungue

  b. Bofya "Join VIP"  na uchague kifurushi cha kujiunga

    i. Siku – TZS 200 (Masaa 24)

    ii. Wiki –TZS 500 (Siku 7)

    iii. Mwezi –TZS 1,550 (Siku 30)

  c. Bofya "Confirm" kuanza kutumia kwa siku 7 za bure za majaribio

3. Kujiunga kwa kutumia usajili wa SMS

  a.  Tuma SMS kwenda 15302 pamoja na neno lenye kifurushi ukitakacho.

    i. Siku – TZS 200 (Masaa 24): Neno = GAME

    ii. Wiki –TZS 500 (Siku 7): Neno = GAME7

    iii. Mwezi –TZS 1,550 (Siku 30): Neno = GAME30

4. Unaweza kujiondoa muda wowote. Kujiondoa:

  a. Tuma SMS kwenda 15302  na neno la kujitoa katika kifurushi.

    i. Siku:  Neno = ONDOAK

    ii. Wiki:  Neno = ONDOAK7

    iii. Mwezi:  Neno = ONDOAK30

5.  Ukisha jiunga kikamilifu, fungua App ya Tigo Games na uanze kutumia kwa siku 7 za bure za majaribio