Tigo Fiesta 2017 Mwanza Cypher Ft Fid Q, Adam Mchomvu & Mwanza Rising MC's

Tigo Fiesta 2017 Mwanza Cypher Ft Fid Q, Adam Mchomvu & Mwanza Rising MC's
Tigo kwa mara nyingine inajivunia kuwa mdhamini mkuu wa Tamasha la Tigo Fiesta 2017 itayoanzia Arusha. Fiesta ni Tamasha la burudani litaloendelea kwa wiki 9 likiwahusisha wasanii wakubwa nchini Tanzania. Nunua Tiketi yako kwa TigoPesa upate punguzo la 10% na bonasi za SMS 100, MB 100 pamoja na punguzo la bei za smartphone katika maduka ya Tigo msimu huu wa Fiesta pale Tamasha likiwa mkoa karibu nawe.
Watch Video