PICHA 10: Alikiba yupo Johannesburg South Africa… hivi ni vitu unatakiwa kujua

PICHA 10: Alikiba yupo Johannesburg South Africa… hivi ni vitu unatakiwa kujua

Mwimbaji staa wa Bongofleva AliKiba yuko Johannesburg South Africa kutia wino kwenye dili zake jipya ambazo zitaishuhudia bongofleva ikikaa kwenye headlines nyingine 2016. Kuna mambo mapya saba makubwa ambayo yatatangazwa ndani ya saa 48 kuanzia leo May 19 2016 kutokea hapa Johannesburg ikiwa ni hatua kubwa kwake kuwahi kuipiga kwenye muziki. Baada tu ya kuwasili Johannesburg Alikiba alialikwa kwenye duka maarufu la […]

The post PICHA 10: Alikiba yupo Johannesburg South Africa… hivi ni vitu unatakiwa kujua appeared first on MillardAyo.Com.