Miaka miwili baada ya kutekwa wasichana 276 na Boko Haram, mmoja apatikana akiwa mjamzito

Miaka miwili baada ya kutekwa wasichana 276 na Boko Haram, mmoja apatikana akiwa mjamzito

Kama unazikumbuka story za kundi la Kigaidi la Boko Haram kuteka wasichana 276 Nchini Nigeria, sasa leo taarifa zilizopatikana ni kwamba binti mmoja amepatikana baada ya miaka miwili. Binti huyo kwa jina la  Amina Ali amepatikana akiwa na ujauzito kwenye msitu wa Sambisa huko kaskazini mwa  Nigeria ambapo ndipo walikuwa wamefichwa wasichana hao. Wasichana hao ambao […]

The post Miaka miwili baada ya kutekwa wasichana 276 na Boko Haram, mmoja apatikana akiwa mjamzito appeared first on MillardAyo.Com.