List ya wachezaji 26 walioitwa Taifa Stars, Cannavaro bado yupo katika mipango ya Mkwasa

List ya wachezaji 26 walioitwa Taifa Stars, Cannavaro bado yupo katika mipango ya Mkwasa

Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa leo May 18 ametangaza kikosi cha wachezaji 26 watakaojiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Harambee Stars na mchezo wa kuwania kufuzu AFCON dhidi ya Misri. Katika kikosi hicho Mkwasa ametaja majina ya wachezaji wengi tuliowazoe lakini jina la Simon Msuva na Deus […]

The post List ya wachezaji 26 walioitwa Taifa Stars, Cannavaro bado yupo katika mipango ya Mkwasa appeared first on MillardAyo.Com.