Leaked: Dakika 3 za wimbo mpya wa Chriss Brown ft T-Pain ‘Bring It Back’

Leaked: Dakika 3 za wimbo mpya wa Chriss Brown ft T-Pain ‘Bring It Back’

Headlines za ngoma za wasanii kuvuja zinazidi kugonga vichwa vya habari, baada ya staa wa Bongofleva Alikiba ngoma yake ya ‘Aje’ kuvuja, staa kutoka USA Chriss Brown imevuja nae ngoma yake ya ‘Bring It Back’ alimshirkisha T-Pain, unaweza kuenjoy kwa kusikiliza dakika 3 na sekunde 46. KAMA ULIIKOSA HII YA SNURA KUZUNGUMZIA VIDEO YAKE YA […]

The post Leaked: Dakika 3 za wimbo mpya wa Chriss Brown ft T-Pain ‘Bring It Back’ appeared first on MillardAyo.Com.