AUDIO: Kauli ya kwanza ya Mkwasa baada ya kumuita Cannavaro ‘Taifa Stars’

AUDIO: Kauli ya kwanza ya Mkwasa baada ya kumuita Cannavaro ‘Taifa Stars’

Kocha wa timu ya Tanzania Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa ameeleza amejibu kwa nini amemuita Nadir Haroub Cannavaro katika kikosi licha ya staa huyo kutangaza kuwa amestaafu kuichezea Taifa Stars. “Labda niseme tu mimi sijapata taarifa za yeye kujiuzulu timu ya taifa wala ofisi kunipa barua yoyote, mimi nimeona uzoefu wake bado unahitajika katika timu […]

The post AUDIO: Kauli ya kwanza ya Mkwasa baada ya kumuita Cannavaro ‘Taifa Stars’ appeared first on MillardAyo.Com.