AUDIO: Ikitokea Mkwasa akamuita Cannavaro Taifa Stars, mwenyewe ana maamuzi haya

AUDIO: Ikitokea Mkwasa akamuita Cannavaro Taifa Stars, mwenyewe ana maamuzi haya

Baada ya headlines za muda mrefu kuhusu aliyekuwa nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania  Nadir Haroub Cannavaro kutangaza kustaafu kuchezea timu ya taifa ya Tanzania kutokana na kuvuliwa unahodha bila kupewa taarifa rasmi, tuliwahi kusikia kocha wa Taifa Stars Boniface Mkwasa akisema kuwa bado Cannavaro yupo katika mipango yake. millardayo.com ilimpata katika exclusive interview […]

The post AUDIO: Ikitokea Mkwasa akamuita Cannavaro Taifa Stars, mwenyewe ana maamuzi haya appeared first on MillardAyo.Com.